Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mzee Nani twamasiku ulinkafuSijui atakubali kukaa ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Mwagona hahahahaa Kibantu bhana
Mzee Nani twamasiku ulinkafuSijui atakubali kukaa ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Huna haja ya kufanya utafiti. Jibu unalo...Sijui nani katuloga
Zabibu bora kabisa inapatikana Dodoma na uvunaji wake ni Mara mbili kwa mwaka hii ni rekodi dunia nzima
Why tusiwe wazalishaji bora kabisa wa wine duniani
Nafanya utafiti juu ya hili
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
Mi mzima hofu yangu kwako siku zote.Mmeshindaje?
We nenda tu hukooNitarudi baadae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukilala waota jf uzi maalum wa kupeana likes,KK quoted your post,SYB and others liked your post[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu nikalale mie
My ndugu kichwa kichafu
Mkuu kuwa mkweli kwa African countries cheating kwenye elections ni kawaida sanaKwahiyo uchaguzi usio na faulo ni kwa upinzani tu kushinda? Yaani uchaguzi halali ni ule ambao wapinzani hushinda? Upinzani ukishindwa tu inakua uchaguzi haukua halali au una faulo?
Alikuwa Snitch ila labda alitaka wewe uanze kumsalimia.Halafu wakishinda hata wakiteuliwa uwaziri jamaa wanasahau na kubadilika mapema sana. Rafiki yangu mmoja ambaye form 6 nilimpigania kweli kumuweka sawa kimasomo kwa sasa naibu waziri niligongana naye kwenye ATM moja juzi juzi hapa akakausha. Nilishangaa sana. Pengine alidhani nitamuomba pesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]