Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani mimi sitaki sikia kabisa!
Nilikuwa campaign manager wa mtu fulani alikuwa anataka ubunge!
Yaani we sikia tu!
Ndiyo maana baada ya uchaguzi watu wanakufa!
Yaani it's stress on the highest degree!
Watu wanauza nyumba walahi!
Duh!
Hapana kabisa!
Siasa ni no WAY!
Pole, unauza nyumba ili upate ubunge? Lazima utalazimisha ushindi ili kujiokoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom