Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

fac4a65d7f7f0e99e84043acb2a8d861.jpg
 
Dah! Kuna siku niliambulia viboko 33 in one day. Yaani tangu nafika shuleni saa moja asubuhi mpaka jioni ni zali tu mtindo mmoja. Mpaka leo nikiwa na siku mbovu kabisa huwa nakumbuka siku ile....
Africa Broo mi pia nakumbuka first day na report shule advance nilipokelewa na fimbo nying aisee eti kisa kwa nini nilivaa jeans siku ya ku report aisee. Hard times
 
Back
Top Bottom