Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hapana mkuu kila sehemu ni ruksa usihofu kuwa huru tu.
Huu mchezo hahuhitaji hasiraMahakama pia ni hivyo hivyo. Wapinzani wakishindwa kesi mahakama zimetiwa katika mifuko ya wanasiasa. Wapinzani wakishinda kesi basi mahakama zimetenda haki. Kuna kutokuaminiana kukubwa kati ya pande hizi mbili kiasi kwamba kweli ni uwongo (and vice versa).
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] no free lunchSince there is no free lunch, there are always strings ATTACHed !!!