Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

c824a867cba7d704641125efbd1e4572.jpg
 
Dah! Kuna siku niliambulia viboko 33 in one day. Yaani tangu nafika shuleni saa moja asubuhi mpaka jioni ni zali tu mtindo mmoja. Mpaka leo nikiwa na siku mbovu kabisa huwa nakumbuka siku ile....
Aisee!!! Hawa watu wamestaafu,lakini ukikutana nao unabaki unacheka nao kwa kukumbuka viboko ambavyo walikutwanga bila huruma[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom