Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bibi wa Kizungu kadata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
7840c48a3e3755b728b2f8e151db4cff.jpg
 
Mahakama pia ni hivyo hivyo. Wapinzani wakishindwa kesi mahakama zimetiwa katika mifuko ya wanasiasa. Wapinzani wakishinda kesi basi mahakama zimetenda haki. Kuna kutokuaminiana kukubwa kati ya pande hizi mbili kiasi kwamba kweli ni uwongo (and vice versa).
Mkuu hii kama mpira wa bongo
Viongozi wa siasa ni Simba na Yanga
Viongozi wa Chama cha soka ni Simba na Yanga
Marefarii ni Simba na Yanga
Malines wote Simba na Yanga
So katika maamuzi yote ya mpira Tanzania na atakuwa na wajumbe wengi kwenye kikao husika ndiye mshindi
 
Back
Top Bottom