carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Cc:andjul[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:andjul[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Toa likes
Hakuna kama mamaDear Mama
By 2pac
Nawapenda sana na tu marafiki wakubwa sasa. Walitenda hayo katika wakati ule wakituandaa kuwa raia wema. Ila kuna mmoja O'level hakuwahi kutandika mwanafunzi hata mara moja. Alikuwa na huruma ya ajabu na ukimkosea anakuongelesha kama mwanae. Tulimheshimu na kumpenda sana. Ameshastaafu na juzi juzi hapa alikuwa anahitaji operesheni Aghakan hospital. Wanafunzi wake tulijipiga piga tukafanikisha. Tu wazima sasa lakini wengi wangali wanatoa ushuhuda kuwa alikuwa mfano bora kabisa wa mwalimu na mzazi. Kama wazazi, wajomba, mashangazi...tuna athari kubwa katika maisha ya watoto. Tuwe waangalifu!Aisee!!! Hawa watu wamestaafu,lakini ukikutana nao unabaki unacheka nao kwa kukumbuka viboko ambavyo walikutwanga bila huruma[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]nimesahau nikumbushe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] natafuta soko... Muulize carba nauza nini...
Kwa nini lakini?womens hearts beat faster than mens
Bora uishie hapohapoNiliwaona kule kwenye uzi tata jana. Acha niishie hapa....
I'm sorry mamaDear Mama
By 2pac
Mama
Christian Bella
DahHuna haja ya kufanya utafiti. Jibu unalo...
Tanzanite ni MAWE na hayahitaji hata kusindikwa. Mbona producer mkuu anayetambulika duniani ni Kenya wakati mawe hayo yanapatikana Tanzania pekee?
Kwa nini Mlima Kilimanjaro upo Kenya?
[emoji23][emoji23][emoji23]sipati pichaVipi wa mbele anainjoije!!![emoji39] [emoji39] [emoji39]
ISIS Amun Ra5:22
AMUN RA
Guuuuuuu !!!