myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
if your DNA was stretched out it would reach to the moon 6,000 times
Hahahahaha pole sanaDah! Kuna siku niliambulia viboko 33 in one day. Yaani tangu nafika shuleni saa moja asubuhi mpaka jioni ni zali tu mtindo mmoja. Mpaka leo nikiwa na siku mbovu kabisa huwa nakumbuka siku ile....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] natafuta soko... Muulize carba nauza nini...Najaribu kuona mbali kama shekhe yahaya
HahahaMzee wa liver
Klopp on the Making
Yabadilike wap jamaa kumbe walikuwa seriousMatokeo yalibadilika mkuu
Endless Uzi walahiKwa jinsi uzi huu ulivyo mrefu nadhani tutaingia nao mwaka 2020