Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu hii kama mpira wa bongo
Viongozi wa siasa ni Simba na Yanga
Viongozi wa Chama cha soka ni Simba na Yanga
Marefarii ni Simba na Yanga
Malines wote Simba na Yanga
So katika maamuzi yote ya mpira Tanzania na atakuwa na wajumbe wengi kwenye kikao husika ndiye mshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…