Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Wakati naanza maisha kuna nyumba nilipanga yaani acha tu mwenye nyumba mashariti yote safi
Lakini kwanza ni marufuku kushangilia Simba
Marufuku kushangilia Liverpool
Marufuku kushangilia Barcelona
Yote tisa kumi
Musiki ni wa msondo
Huko lazima itakuwa ilikuwa ni Mwananyamala!