Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Nao ni Laboso. Anne Waiguru, Charity Ngiru
Nikimwona huyu nahisi ni wewe tu utafika my dear
Tuwaombee my dearSasa njoo kwa watanzania wenzangu ndugu moja!
Aaa salale!
Aaangalii future!
Yeye anataka kuku tapeli tu achomoke!
Yaani nina very bad experience na waafrica walahi!
Namwomba MWENYE ENZI MUNGU TUBADILIKE!
Tunawaombea
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesema???
AMUN RAAMUN RA
Njema kabisa mkuuWakuu habar zenu..?
post using my macbook air using jamiiforums app
Indeed my dearNimemsoma sana aisee ni shida like you my dearest
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hata ningekuwa na stress za vipi,likipita dude mbele yangu naahirisha kustresika hadi baadaaaaeeeDogo anawaza misambwanda wakati wa masomo. Anahitaji ushauri nasaha huyu. Andjul njoo tukamsaidie huyu dogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Hahahahaha asante mzee wa TukuyuBaby Doll+Ruta+moud=number ya mafanikio kwenye uzi wetu.
ISIS+myoyambendi+Cole +mzee wa liver=uhai wa uzi
Numbisa=afya ya uzi
KK+carba=catalyst ya uzi
SYB+BAK+CLEVERKING=BUSARA YA UZI
SISI+WOTE=MASHABIKI WA UZI
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mkuu habari yakoUzi pedwa kabisa huu