Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amina.Malezi yale kwa akina sisi tulio lelewa na mama pekee yalifaa sana.Nakumbuka class VI mtihani wa kumaliza nilishika nafasi ya kwanza,lakini mahudhurio kwa term sikufikisha hata siku 50 nilizoingia darasani,muda wa zawadi niliitwa mbele,badala ya kupewa madaftari, rula,mkebe na biki nilirambwa fimbo 10 nakushushwa nafasi hadi wa tano nikakosa zawadi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu mkubwa nimejenga nae jirani sasa,najisikia fahari kufundishwa nae (mama Mwalituke) namuombea maisha marefu
Kuna mwalimu wangu wa English Mama Kasila aisee nilikutana naye kwanza azeeki yuko vile vile tu 50,000 ilinitoka regardless viboko vyake
 
IMG_2922.JPG
 
Kila mpangaji atakayepika chakula ni lazima ampakulie na kumpelekea kwenye sahani yake. kwa mfano mpo wapangaji nne basi wote wanne wapeleke sahani za ugali na mboga kwake..

Kila mpangaji akipata mgeni lazima amtaarifu muda aliofika na atako ondoka.
Ningepanga hapo angekoma,napika chakula najaza chumvi na pilipili hatari[emoji23][emoji23][emoji23]angefurahi na roho yake
 
Vituko katika nyumba hiyo ni masharti aliyokuwa kuwa nayo mwenye nyumba huyo. Masharti yake kwa wapangaji ni kama ifuatavyo;

Kwa wapangaji wote ni lazima asubuhi kabla haujafanya jambo lolote umfuate ndani mwake ukamsalimie kama amelala unatakiwa pia umwamshe ili asalimiwe.
Hiyo nyumba wapangaji wanakaa bure?mambo mengine ya kipuuzi kuliko hata upuuzi wenyewe
 
Back
Top Bottom