mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Napenda watu kama nyie manatumia furusa kisahii kabisaAsante mkuu.
Napenda watu kama nyie manatumia furusa kisahii kabisaAsante mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi moyo wako unajua huwezi kunibaguaHapana mkuu huyu carbamazepine inabidi nimbague tu hamna namna
Napenda watu kama nyie manatumia furusa kisahii kabisaAsante mkuu.
Mbona unapinga sana,ulishawahi pigishwa magoti nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna mahaba ya hivyo labda korean drama
Amina.Malezi yale kwa akina sisi tulio lelewa na mama pekee yalifaa sana.Nakumbuka class VI mtihani wa kumaliza nilishika nafasi ya kwanza,lakini mahudhurio kwa term sikufikisha hata siku 50 nilizoingia darasani,muda wa zawadi niliitwa mbele,badala ya kupewa madaftari, rula,mkebe na biki nilirambwa fimbo 10 nakushushwa nafasi hadi wa tano nikakosa zawadi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu mkubwa nimejenga nae jirani sasa,najisikia fahari kufundishwa nae (mama Mwalituke) namuombea maisha marefuNawapenda sana na tu marafiki wakubwa sasa. Walitenda hayo katika wakati ule wakituandaa kuwa raia wema. Ila kuna mmoja O'level hakuwahi kutandika mwanafunzi hata mara moja. Alikuwa na huruma ya ajabu na ukimkosea anakuongelesha kama mwanae. Tulimheshimu na kumpenda sana. Ameshastaafu na juzi juzi hapa alikuwa anahitaji operesheni Aghakan hospital. Wanafunzi wake tulijipiga piga tukafanikisha. Tu wazima sasa lakini wengi wangali wanatoa ushuhuda kuwa alikuwa mfano bora kabisa wa mwalimu na mzazi. Kama wazazi, wajomba, mashangazi...tuna athari kubwa katika maisha ya watoto. Tuwe waangalifu!
Karibu uwe mwanachama wa kudumu humuNimejoin Leo ila full maraha