Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunakumbushana tu !!!
828a32e57e6545f685d4dfd0206ef5e3.jpg
 
Amina.Malezi yale kwa akina sisi tulio lelewa na mama pekee yalifaa sana.Nakumbuka class VI mtihani wa kumaliza nilishika nafasi ya kwanza,lakini mahudhurio kwa term sikufikisha hata siku 50 nilizoingia darasani,muda wa zawadi niliitwa mbele,badala ya kupewa madaftari, rula,mkebe na biki nilirambwa fimbo 10 nakushushwa nafasi hadi wa tano nikakosa zawadi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu mkubwa nimejenga nae jirani sasa,najisikia fahari kufundishwa nae (mama Mwalituke) namuombea maisha marefu
[emoji23][emoji23][emoji23]dooh!badala ya zawadi unapewa zawadi ya fimbo,pole sana
 
Back
Top Bottom