Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nawapenda sana na tu marafiki wakubwa sasa. Walitenda hayo katika wakati ule wakituandaa kuwa raia wema. Ila kuna mmoja O'level hakuwahi kutandika mwanafunzi hata mara moja. Alikuwa na huruma ya ajabu na ukimkosea anakuongelesha kama mwanae. Tulimheshimu na kumpenda sana. Ameshastaafu na juzi juzi hapa alikuwa anahitaji operesheni Aghakan hospital. Wanafunzi wake tulijipiga piga tukafanikisha. Tu wazima sasa lakini wengi wangali wanatoa ushuhuda kuwa alikuwa mfano bora kabisa wa mwalimu na mzazi. Kama wazazi, wajomba, mashangazi...tuna athari kubwa katika maisha ya watoto. Tuwe waangalifu!
Kabisa mkuu
 
Mjumbe wa bodi ya ACACIA....
b5803c499ffee2aa3ee450477e6d48dc.jpg
Ni mgonjwa sasa hivi maskini Juma jamani duh!
 
Back
Top Bottom