Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Wakati naanza maisha kuna nyumba nilipanga yaani acha tu mwenye nyumba mashariti yote safi
Lakini kwanza ni marufuku kushangilia Simba
Marufuku kushangilia Liverpool
Marufuku kushangilia Barcelona
Yote tisa kumi
Musiki ni wa msondo
HahahahYote haya ni kwa sababu ya Numbisa, Shimba Rutashubanyuma na wengineo
Sent using Jamii Forums mobile app
IndeedIsabella dos Santos
Richest woman in Africa
AMUN RAView attachment 561916
Na iwe hivyo
Maneno yako yawe ya kweli
Na yaumbe, nifikie hapo kwa kweli
AMUN RA
Na mimi nakupa pole,kwa vyovyote ulikuwa ni mmoja wa timu ambayo mwalimu wako alikuwa anaichukia sanaMkononi,wee secondary niliyosoma mdada kuchapwa mat.. Kesi kubwa
Thank u
Mbona kama ni dhamira unakubali kuanzia akilini eti hata kupitiaKwa mashemeji zangu wote hapa. Nawasalimia jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The daughter of Dos Santos Angola President
HahahahahaHuko lazima itakuwa ilikuwa ni Mwananyamala!
Umeona anavyo fanya team work!The daughter of Dos Santos Angola President
Hapana nilizembea kwenda kwenye kipind chake muhimu sana alikua anatupa majibu ya necta kiaina,ni mmama mpole mzuri alishatangulia mbele za hakiNa mimi nakupa pole,kwa vyovyote ulikuwa ni timu ambayo mwalimu wako alikuwa anaichukia sana
Niko na wachina hivyo hivyo!Isabella dos Santos
Richest woman in Africa
Wahindi ndiyo KABISA!The daughter of Dos Santos Angola President