Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120] [emoji120] [emoji120] hata kuongea huwezi,yaani ni kigugumizi tu hata akisema "unajua wewe ni mjinga sana tena hauna akili" una mjibu tu "ndiyo...ni kweli kabisa"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahaaa... Maajabu ya Mnyaazi Mungu! Ile kitu haijawahi kumuacha mwanaume salama! Unaweza kudhani ni zuzu flani hivi, hatari kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…