Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sonny Liston
Mkuu muda ni Mali lakini kwa ajili ya hili nitakupa kila unachohitajiNa hiyo Technologia ndiyo chanzo cha yote haya, maana mataifa makubwa hayataki kusikia juu ya umiliki wa silaha za hatari kwa mataifa yasiyoamika kama Iran na North Korea ambayo kwa muda mrefu yana mzozo na Marekani na washirika wake. hivyo basi vita yoyote ya Marekani na North Korea haitakuwa ya kitoto kama ilivyo kuwa Irak na Vietnam. Istoshe hilo siyo jambo la kulifanyia ushabiki wa yanga na simba, maana madhara ya vita hiyo yataigusa dunia nzima kwa namna moja ama nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe na safari njema ila ulichonifanyia [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani hujayaona kwa Numbisa nilivyo yachezea pale mezani?
HahahahahaNa Mungu atakuzidishia zaidi ya hapo.Wale ni wazazi walio tulea kwa weledi sana.Kuna Mwalimu (Kitemango kwa wale walio pita Tabora boys,Lugalo) alikuwa ni mlezi wa ajabu sijawahi kukutana na mzazi wa vile.Alikuwa na hekima kiasi kwamba akikuadhibu mwenyewe unajipeleka kwake kumuomba msamaha usiku kwa kumkosea
Haahhaaha ni shida kwa kweliIla huyo Babu nae ana misemo sana, kuna wakati mwandishi mmoja wa habari wa Uingereza alimuuliza nini kwa nini hastaafu kwani umri umekwenda, alimjibu kama alishaamuuliza Malkia Elizabeth swali la namna hiyo!
Ni kiongozi wa kweli lakini nature imemkataaaNampenda kwa msimamo wake japo ujeuri wake umeharibu uchumi wa Zimbabwe...
Ni kweli auhatimaye magwiji wa siasa ya tanzania wakutana ana kwa ana na kupeana mikono baada ya kutofautiana miaka kadhaa iliyopita kwasababu fulani fulani za kisiasa.
tutegemee maajab zaidi...hawakukutana barabarani.
![]()