Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbona unapinga sana,ulishawahi pigishwa magoti nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Testosterone inakukurika mishipani, moyo mbio mbio, system nzima iko ready na launching sequenses zishaanza tayari halafu mtu mwenyewe nyodo kibao. Mbona magoti utapiga tu na hata Bombardier utaahidi? Sioni tatizo hapo [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Modern world
Vita ya sasa hi technology mkuu
Small army better weapons
Gorrila war hakuna Siku hizi
Nakuambia hata south wakipigana na North bado ushindi ni wa south
Na hiyo Technologia ndiyo chanzo cha yote haya, maana mataifa makubwa hayataki kusikia juu ya umiliki wa silaha za hatari kwa mataifa yasiyoamika kama Iran na North Korea ambayo kwa muda mrefu yana mzozo na Marekani na washirika wake. hivyo basi vita yoyote ya Marekani na North Korea haitakuwa ya kitoto kama ilivyo kuwa Irak na Vietnam. Istoshe hilo siyo jambo la kulifanyia ushabiki wa yanga na simba, maana madhara ya vita hiyo yataigusa dunia nzima kwa namna moja ama nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwalimu wangu wa English Mama Kasila aisee nilikutana naye kwanza azeeki yuko vile vile tu 50,000 ilinitoka regardless viboko vyake
Na Mungu atakuzidishia zaidi ya hapo.Wale ni wazazi walio tulea kwa weledi sana.Kuna Mwalimu (Kitemango kwa wale walio pita Tabora boys,Lugalo) alikuwa ni mlezi wa ajabu sijawahi kukutana na mzazi wa vile.Alikuwa na hekima kiasi kwamba akikuadhibu mwenyewe unajipeleka kwake kumuomba msamaha usiku kwa kumkosea
 
Simon Soka, Moshi

Kiukweli watu kama hao wapo, na wanakera sana. Mimi binafsi ishanitokea, unamkuta tena ni mtu mzima kabisa anapiga chabo, ni ulimbukeni tu na kukosa maadili.
Kisaikolojia ni wagonjwa na given time wanaweza kubaka na hata kuua huko mbele ya safari. Ma-serial killers wengi hasa ambao hupenda kuua wanawake ili kutimiza fantasy zao za kingono wamepitia hatua hii ya upiga chabo !!
 
Back
Top Bottom