Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Modern world
Vita ya sasa hi technology mkuu
Small army better weapons
Gorrila war hakuna Siku hizi
Nakuambia hata south wakipigana na North bado ushindi ni wa south
Technology haikuanza Leo, na vita ya namna hiyo haina nafasi, labda kama una nia ya kuteketeza nchi au mji mzima kama ilivyotokea Hiroshima na Nagasaki. Vinginevyo yeyote unayesikia anamiliki nyukilia anaweza kufanya uharibifu popote. Kwahiyo hata kama marekani anaweza kuishambulia na kuifuta kabisa N Korea, bado kuna madhara ya kiusalama kwa nchi washirika na hasa hasa China na S Korea. hilo tu litatosha kuipa kitisho Dunia juu ya vita kama hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabinti ka QUIGLEY haka nako dah !!!
f1a7cec3a4303f0bae4dd5674a30cf45.jpg
 
Back
Top Bottom