Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3304.JPG
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hata ningekuwa na stress za vipi,likipita dude mbele yangu naahirisha kustresika hadi baadaaaaeee
Naelewa mkuu. Kama jana nimemsindikiza rafiki mmoja hapa open house watoto kuonana na walimu wao, mwalimu wa Biology duh! Ni Mbantu kabisa japo yumo kwenye ngozi ya kizungu. Nilikuwa nimechoka na nilikwenda kwa kujilazimisha tu lakini nilipomuona huyo ticha aisee uchovu wote kwishnei! Tabasamu mpaka gego la mwisho! Kuna watu wamependelewa sana utafikiri Muumbaji Alitumia several light years akihangaika kuwaumba. Maajabu ya uumbaji halafu unakuta jitu limekazana Oooh hakuna Muumba wala nini kila kitu kimetokea tu by chance. Chance my foot !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom