Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mfuasi wa Raila ameighafilikia Tiviiiiii !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani hapo ni muafaka tu unaotafutwa.Ile kitu hautakiwi kuipata kwa makwazo kabisaHahaaa... Maajabu ya Mnyaazi Mungu! Ile kitu haijawahi kumuacha mwanaume salama! Unaweza kudhani ni zuzu flani hivi, hatari kweli!
Hahahahaha ya mtuHivi hii pua ni ya punda au ya mtu???
learn to serve
HahahahahaNaelewa mkuu. Kama jana nimemsindikiza rafiki mmoja hapa open house watoto kuonana na walimu wao, mwalimu wa Biology duh! Ni Mbantu kabisa japo yumo kwenye ngozi ya kizungu. Nilikuwa nimechoka na nilikwenda kwa kujilazimisha tu lakini nilipomuona huyo ticha aisee uchovu wote kwishnei! Tabasamu mpaka gego la mwisho! Kuna watu wamependelewa sana utafikiri Muumbaji Alitumia several light years akihangaika kuwaumba. Maajabu ya uumbaji halafu unakuta jitu limekazana Oooh hakuna Muumba wala nini kila kitu kimetokea tu by chance. Chance my foot !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AMUN RA7:44
AMUN RA
NonsenseTechnology haikuanza Leo, na vita ya namna hiyo haina nafasi, labda kama una nia ya kuteketeza nchi au mji mzima kama ilivyotokea Hiroshima na Nagasaki. Vinginevyo yeyote unayesikia anamiliki nyukilia anaweza kufanya uharibifu popote. Kwahiyo hata kama marekani anaweza kuishambulia na kuifuta kabisa N Korea, bado kuna madhara ya kiusalama kwa nchi washirika na hasa hasa China na S Korea. hilo tu litatosha kuipa kitisho Dunia juu ya vita kama hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app