Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aaa wapi! Utacheka mpaka uchoke menyewe yamekunja ndita tu. Ila naelewa unachojaribu kusema!Maisha kama kioo ukiyachekea nayo yanakucheka.
Aaa wapi! Utacheka mpaka uchoke menyewe yamekunja ndita tu. Ila naelewa unachojaribu kusema!Maisha kama kioo ukiyachekea nayo yanakucheka.
Nampenda kwa msimamo wake japo ujeuri wake umeharibu uchumi wa Zimbabwe...Ila huyo Babu nae ana misemo sana, kuna wakati mwandishi mmoja wa habari wa Uingereza alimuuliza nini kwa nini hastaafu kwani umri umekwenda, alimjibu kama alishaamuuliza Malkia Elizabeth swali la namna hiyo!
Hiyo ilikuwa ni halali upigwe,ni waalimu wachache sana wenye moyo huo wa kukupigania ufauluHapana nilizembea kwenda kwenye kipind chake muhimu sana alikua anatupa majibu ya necta kiaina,ni mmama mpole mzuri alishatangulia mbele za haki