Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Sawa wana bajet kubwa na pia ni kweli wanaweza kuifinya N Korea kufumba na kufumbua, lakini kabla hujachagua upande kwa mataifa haya mawili tueleze kosa la N Korea mpaka ifike mahali Dunia iunge mkono mipango kuishambulia haitimaye kulifuta taifa hilo? Suala la uonevu unalishabikia?Mkuu tupate likes kwanza sipendi vita itokee napenda amani
Lakini Mkuu angalia uhalisia usiangalie maneno bajeti ya US kwenye military mzee nchi 12 za ulaya unaweka UK ,France,Italy,Spain
Hata wao ulaya wanamuoga US sembuse N.K
Hahaah mshangao eti bado nahisi nilionewa sanaHiyo ilikuwa ni halali upigwe,ni waalimu wachache sana wenye moyo huo wa kukupigania ufaulu
HatariKisaikolojia ni wagonjwa na given time wanaweza kubaka na hata kuua huko mbele ya safari. Ma-serial killers wengi hasa ambao hupenda kuua wanawake ili kutimiza fantasy zao za kingono wamepitia hatua hii ya upiga chabo !!
Tupo japo nachungulia