Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Hizi hua ni assumption tu but hua hazina concrete evidence.Mkuu kuwa mkweli kwa African countries cheating kwenye elections ni kawaida sana
Nakurudisha nyuma kidogo lini CCM ilishinda kihalali Zanzibar
Uwe na Siku njema
Hukuonewa. Mimi natoa siri za NECTA kiaina halafu usihudhurie aisee nakulima fimbo tu kwa sababu hakuna namna...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pole bageshi!Hahaah mshangao eti bado nahisi nilionewa sana