The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Huu uzi raha sana,stress free,unaandika chochote kilichopo kichwani mwako ili mradi usivunje tu sheria za JamiiForums
Kabisa mkuu sijui uende wapiHuu uzi una sum up yote yanayoendelea JF! Ukishazama hapa huna haja ya kwenda kwingine! Kama ni breaking nyuzi utazipata hapa hapa!
[emoji3] [emoji3] teh teh teh[emoji3] [emoji3] alete nani [emoji3] [emoji3] hiyo haina nafasi. Majukwaa husika yapo.Siku mkileta siasa na dini humu ndio tutajuana vizuri 😀😀😀😀
Huyu mwanafunzi anastahili viboko[emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo mis wew[emoji8][emoji8]Hahahahaha upo wewe
Huo ugali ni wa dengu ama?
Hahaha mkuu nacheza miguu yoteHueleweki kiongozi, tuachane na hiyo mada, simba na yanga kwenye itifaki ya kivita haipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc:Kichwa KichafuNjia kuu za maambukizi :
-Kujamiana bila kinga
-Kunyonyana ndimi 'denda'
-Mama mwenye ugonjwa kumwambukiza mtoto wakati wa kujifungua
-Kuchangia damu isiyo salama
-Kuchangia vitu vya ncha kali kama sindano, wembe n.k
-Kuchangia miswaki
-kuchangia taulo na mwenye ugonjwa huo
-kubadilishana nguo au kukumbatiana wakati mkiwa mnavuja jasho.