Hebu jaribu kumuuliza Andjul. Naamini atakuwa na jibu sahihi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo ugali ni wa dengu ama?
Hakuna kama mama. Case closed!!!Kweli mkuu,Mama ni mama aisee!!
Mkuu Uhuru ni President whatever
Sio kweliInawezekana Putin ndo akawa mtu tajiri kuliko wote duniani!![]()
Ndiyo. Nina marafiki wapo huko wanasema tension kali is in the air. Tuwaombee tu.
andjul leo anaonekana kwa kuibia sijui shida ni nini...akija nitamuulizaHebu jaribu kumuuliza Andjul. Naamini atakuwa na jibu sahihi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu muanzisha hii thread Jembekillo hata haonekani humu?!Kabisa mkuu sijui uende wapi
Jembe kilo Jembe tani
Nabii wa likes Sijui aliwaza nini kuanzisha huu Uzi
Mhhhhhh something wrong there