Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kinachotakiwa ni kufahamu muda gani unahatari hizo kwa afya ya mtu. Tafiti mpya zitatupa majibu ya kina.”
Watu wengi wana kawaida ya kujipumzisha mchana. Baadhi ya sehemu, kutokana na majukumu, ni ratiba ya siku kwa watendaji wa aina fulani. Usingizi kiasi pamoja na mlo kamili na mazoezi madogo madogo inafahamika kuwa ni misingi ya afya bora ila utafiti huu unatahadharisha kuwa macho na ule uliopitiliza.