Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa wagonjwa wengine, Virusi vya Hepatitis B hukua hadi kusababisha ini kuharibika kabisa (cirrhosis of the liver) au saratani ya ini (liver cancer).
Wahenga ni muhimu sana kupima hii. Kipimo chake ni rahisi tu. Kuna dawa uk waigundulika mapema vinginevyo ini linaweza kuharibika jumla. Mtu unaweza kukaa mpaka hata miaka 20+ wadudu wapo tu wanafanya sherehe kwenye ini lako mpaka mwishowe wanalidhoofisha...
 
Ndiyo. Nina marafiki wapo huko wanasema tension kali is in the air. Tuwaombee tu.

Raila anasema kaibiwa. Uhuru naye kamrushia dongo anasema we hii mara ya nne unasema unaibiwa, we ni mjinga? Si na wewe uibe? Kiboko ya mwizi ni kumuibia tu...Inahitajika subira na hekima!!!
Hayo yanapatikana zaidi Afrika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yanapatikana zaidi Afrika

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu. Hata huko kwao. Uchaguzi wa Bush vs Al Gore kuna kura ziliibwa. Bush asingeshinda. Sema tu wenzetu wepesi sana wa kukubali matokeo. Mpaka leo kuna watu wanaamini kuwa kama Al Gore asingekuwa na kiherehere cha kukubali matokeo, na madai ya wizi wa kura yakafuatiliwa ni wazi angeshinda. Hata wahafidhina akina Rush Limbaugh wanakiri kuhusu hili.

Hata huu wa mwaka jana inawezekena Warusi walifanya yao ili kumsaidia Trump. Kuna mashine za kupigia/kuhesabia kura wanasema inawezekana zilichezewa. Na hawa ni FBI ambao hawapaswi kuwa na chama...Siasa ndivyo zilivyo. Ukishindwa kumshinda mpinzani wako kihalali basi unatumia mbinu zo zote uwezazo...
 
Kusinzia mchana kwa zaidi ya saa moja ni dalili ya kisukari aina ya pili (type 2 diabetes), utafiti unasema. Utafiti huo wa kwanza wa aina yake umefanywa na wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Tokyo, Japan unabainisha uwekezano huo.
 
Utafiti wetu umebaini uwepo wa uhusiano wa kusinzia kwa muda mrefu mchana na uwezekano wa kupata kisukari na magonjwa ya kimetaboliki (metabolic syndrome). Utafiti zaidi unahitajika kujiridhisha kuhusu kusinzia kwa muda mfupi,” ilihitimisha ripoti hiyo iliyowasilishwa kwenye mkutano wa 52 wa Shirika la Utafiti wa Kisukari Ulaya (EASD) uliofanyika Munich, Ujerumani mapema mwaka huu.
 
Zipo sababu nyingi zinazoweza kuchangia hatari hiyo. Wanasema usingizi mrefu wa mchana unaweza kumaanisha kuwa mtu hakulala vizuri usiku suala linalohusishwa na msongo wa mawazo ambao ni chanzo cha kisukari.

Akitoa maoni juu ya majibu ya utafiti huo, Profesa Naveed Sattar, daktari bingwa wa magonjwa ya metaboliki kutoka Chuo Kikuu cha Glasgow, Uingereza anasema:
 
Utafiti huu unaonyesha uhusiano wa kisukari na usingizi mrefu wa mchana. Inawezekana kinachosababisha kisukari ndicho kinaleta usingizi huo. Inawezekana ni sukari imezidi mwilini hivyo usingizi mrefu kuwa dalili ya kisukari.”

Profesa huyo, akizungumza na mtandao wa WebMD aliendelea kufafanua kwamba: “Baada ya utafiti huu sasa tunao ushahidi kuwa ukosefu wa usingizi wa kutosha usiku kunahusiana na kisukari.
 
Back
Top Bottom