Ni ukweli kwamba watu wengi hutamani mafanikio na kuyazungumzia katika maneno yao ya kila siku lakini kwa bahati mbaya hawajawahi kuyaishi mafanikio hayo kwa sababu ya kutokuwa na dhamira madhubuti katika kuyaelekea mafanikio hayo.
Capital hill
Nikupe mfano wa mtu mwenye duka, mara kwa mara mmiliki wa duka huwa na muda wa kuvikagua vitu au mali aliyonayo dukani (stock taking) na hapa huweza kutambua nini kimepungua, nini hakipo kabisa na nini kipo kwa wingi.
District of Columbia
Washington DC
Baadhi ya maeneo ya upungufu ambayo tunaweza kuwa nayo katika maisha ni kama vile upungufu wa kihisia, kiroho kiujuzi , kifedha na mengineyo mengi. Kumbuka, uzuri ni kwamba kila tunapoweza kutambua upungufu tunaziona fursa za kuweza kuushughulikia.
Bens clock
Beautiful
Si mchezoTrue! Ukitaka kuishi maisha ya kinafiki basi uwe mwanasiasa! Halafu ni wote, haijalishi kama ni wa Western world au wa kwetu kwa Mtongole!
Spectacular
[emoji818]Likes
KaribuniMtatufanya tuje huko Masaki hata kwa miguu jamani!!!
Lennox Lewis
Poa[emoji113] [emoji113] [emoji113] elimu uliyotoa ni kubwa, kesho naomba uje na mada ya UTI. chanzo chake, kinga na tiba yake. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
The originalsThe Origin of Species....