Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Ha ha ha , big up kwao.Wengine walinzi walikesha kulinda likes zetu
Picha please ya hao watu...Takwimu zinaonyesha kuwa Tanzania ina idadi ya watu takriban milioni 45 na kutokana na taarifa ya afya ya akili kwa mwaka 2014/15 inaonyesha kuwa idadi ya watu 817,532 wanaugua magonjwa mbalimbali ya akili nchini, hii ni karibu asilimia 2 ya Watanzania wote.
Kazi kaziWake up now
Hazipungui zitaongezeka zaidiHa ha ha , big up kwao.
Ndiyo maana zangu hazijapungua
wengi wanafaidika na maelezo haya..Pombe husababisha saratani
Dk Swai anasema unywaji pombe hausababishi kichaa peke yake, bali pia saratani ya mahali popote katika mwili hususani kwenye mfumo wa chakula, huku ini likiathiriwa zaidi.
Gharama zikoje
Toa likes mkuu acha uchoyo
Toa likes unavuruga utaratibu