Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

34d6911475ed24c93c50acfa6d05f7ae.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takwimu zinaonyesha kuwa Tanzania ina idadi ya watu takriban milioni 45 na kutokana na taarifa ya afya ya akili kwa mwaka 2014/15 inaonyesha kuwa idadi ya watu 817,532 wanaugua magonjwa mbalimbali ya akili nchini, hii ni karibu asilimia 2 ya Watanzania wote.
Hatari
Au ndiyo ile waliosema katika watanzania wanne mmoja ni kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom