Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
HatariTakwimu zinaonyesha kuwa Tanzania ina idadi ya watu takriban milioni 45 na kutokana na taarifa ya afya ya akili kwa mwaka 2014/15 inaonyesha kuwa idadi ya watu 817,532 wanaugua magonjwa mbalimbali ya akili nchini, hii ni karibu asilimia 2 ya Watanzania wote.
AmenMungu ni
Wetu Sote
KujitumaKazi kazi