Kikubwa ni mbinuNgumi ni ngumi and anything can happen. Mayweather akilengwa ngumi moja tu ya McGregor basi kazi kwisha hasa ukizingatia kuwa sasa ni mhenga (miaka 42?) na hajapigana huu mwaka sijui wa pili. Wachambuzi wengi wanaamini Mayweather atashinda ila mi nasema lolote laweza kutokea...
Wewe saiv ni saa7:14am muone[emoji1][emoji1]Acha uongo wewe saivi ni 23:53