Njema tunasonga
Mama afya umemkaje? Kwamba tuache au tupunguze?(ukisema niache naweza ongezewa jina lingine la mwanzo within a short time[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )Pombe husababisha saratani
Dk Swai anasema unywaji pombe hausababishi kichaa peke yake, bali pia saratani ya mahali popote katika mwili hususani kwenye mfumo wa chakula, huku ini likiathiriwa zaidi.
Numbisa! Nikimsex dem mwenye UTI nitaambukizwa?
Mama afya umemkaje? Kwamba tuache au tupunguze?(ukisema niache naweza ongezewa jina lingine la mwanzo within a short time[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )