carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]nikupitie tukazimue[emoji482] [emoji482] [emoji482]Uiongeza na carbamazepine
Wooow![emoji7][emoji7]I know, I love them Too
Ndio maana nini mkuu?Asante. Ndiyo maana!
Kweli kabisa naona ukawa Unamwambia kwann akukwambia anaumwa hili muumwe woteNdugu yangu huyu Jovitha nimetoka nae mbali sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha wa yuu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] gudi moningi carba...
Hahahah mzee wa nahauMama afya umemkaje? Kwamba tuache au tupunguze?(ukisema niache naweza ongezewa jina lingine la mwanzo within a short time[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )
Salama kabisaZa asubuhi viongozi
AlhamisThursday
[emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa anapangiwa hadi ratiba mwee mweeHadi shamba la zabibu kalihamishia sea view[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa INI katenguliwa kiungo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pesa kubwa baadae zezeta!Hahahahaha
Mchezo hatari sana kwa afya ya binadamu
UTI hainiachi. Kumbe mwenza anayo.Ndio maana nini mkuu?
Huyu mama ifike kipindi akae mbali na media kwakwelBaada ya Mwanamitindo Hamisa Mobeto kujifungua mtoto wa kiume na story zikisambaa kuwa mtoto huyo ni mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ingawa wenyewe wanazikanusha, sasa leo mama mzazi na dada wa Diamond wamefunguka. Wakiongea kwenye na Soudy Brown kwenye U HEARD ya XXXL ya Clouds FM baada ya kuendelea kusambaa kwa taarifa hizo nao walifunguka. ”Hamisa rafiki yangu siyo wifi yangu lazima niwe na furaha kwa sababu kajifungua salama. Wewe ulikuwa unataka nifanyeje? Hizo habari za Diamond mimi sizijui. Niulize mambo yangu. – Esma. “Wewe unanitafuta nini Soudy? Naumwa kifua. Watoto wote ni wajukuu zangu hata wewe mtoto wako ukizaa mjukuu wangu. Wewe mwenyewe mwanangu, mtoto ukizaa mjukuu wangu. Wewe ni shushushu mbona hujafika Hospitali kumuona? Walioniona nimeenda Hospital waambie wakuhadithie vizuri. Mimi namuombea maisha mema alee mtoto wake vizuri kwa amani na furaha.” – Mama Diamond. . .
Indeed my loveThe one and only
My Queen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha niishie hapa