carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Acha kutumia [emoji482] [emoji482] [emoji23][emoji23]Mama afya umemkaje? Kwamba tuache au tupunguze?(ukisema niache naweza ongezewa jina lingine la mwanzo within a short time[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )
Mwambie inasababisha impotence[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeamka salama. Mnywe lakini sio kupitiliza kiwango au kuweka heshima bar kuonekana kudume mfuta kreti zima
Mwee ataongezewa jina la hayati hahahAcha kutumia [emoji482] [emoji482] [emoji23][emoji23]
Eeeh
Hahaha atapata presha maana wezele zitampitaMwambie inasababisha impotence[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi jibapa ni pombe? (Ila ni kama inalewesha kidooogooo) Usinichoke na maswali haya ya kukata tamaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pombe zote
Cole....Love is love
Hapana jamaniHadi shamba la zabibu kalihamishia sea view[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa INI katenguliwa kiungo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]