Hapo ndipo sijamuelewa yaani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cc:Kichwa Kichafu
andjul
[emoji23][emoji23]leo nimeanza kujua kwanini anakimbiwaHahaha atapata presha maana wezele zitampita
Hahahaha jaman[emoji23][emoji23][emoji23]hata akiendelea kunywa hilo jina litakuja kwa kasi ya 4g
Hahaaha
Kweli
Ile si ina 40%alcohol level??pombe hiyo babu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]najibu kama nimeulizwa mimi vileHivi jibapa ni pombe? (Ila ni kama inalewesha kidooogooo) Usinichoke na maswali haya ya kukata tamaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]