Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimecheka sana baada ya kuupitia huu uzi, kaponda lkn malkia wa LIKE Ukyut na wengine wamemuanzishi ma like humo humo, saa hizi uzi ule uko sawa na huu tu, watu wanakula ma like kwa kwenda mbele. Yeye alidhani anaponda kumbe ndiyo kaharibu kabisa. LIKE haiwezi kumuacha mtu salama[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
f9ccdf1c3cf0ca4b957fa477e4973421.jpg
Naona wanisema sasa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom