Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]hata akiendelea kunywa hilo jina litakuja kwa kasi ya 4g
Hahahha hazina macho nagonga tu
Nani huyoKashinda,
Hapa ni full vichekoHa hahahha hahahaha nimecheka hatari kama chizii
Hahahahaha kumbe na wewe unapiga namba
ColeCole
World
Hongera Numbisa kwa 250kDAWA YA USINGIZI
Mbegu za maboga zimegundulika pia kuwa na kirutubisho kinachozalisha homoni za usingizi. Ulaji wa mbegu za maboga saa chache kabla ya kupanda kitandani, hasa ukila pamoja na tunda lolote, kunasaidia kupata usingizi mzuri mwororo.
Hongera sanaWaaaowww am winnerrr
HahahahahaHalafu niishije??? Kwendaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good afternoonGood afternoon all