carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Bangi si nzuri kwa afya yako ujue[emoji23][emoji23][emoji23]Mpendwa hii mida za habari[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bangi si nzuri kwa afya yako ujue[emoji23][emoji23][emoji23]Mpendwa hii mida za habari[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee. Hiyo safari hiyo mh! Kichwa Kichafu pengine asijue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan huyu hajafika hadi leo, nataka jpili nimfuate huko huko.
ho chi minh popote ulipoNiliwauliza humu Mkuu "Hochi minh" kapotelea wapi? Simuoni humu na alikua ni mmoja wa member maarufu humu!!
Bro kwema Habari za MajukumuSema broo...
HahahahaHili swali aulizwe Uniq. Walikuwa wanagombea binti mmoja mrembo sana wa Kisukuma humu. Ulikuwa mchuano mkali sana na mmojawao akamtishia mwenzake kuwa atampoteza mazima...na kweli Ho Chi Minh disappeared mpaka leo....
Nchi yetu pendwaamani Tanzania
Nitampeleka [emoji23]Aisee. Hiyo safari hiyo mh! Kichwa Kichafu pengine asijue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bangi huku kwetu mboga za majani[emoji23] [emoji23]Bangi si nzuri kwa afya yako ujue[emoji23][emoji23][emoji23]