mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Maneno ya mkosajiPyeeeeee kikombe cha Mbuzi
Maneno ya mkosajiPyeeeeee kikombe cha Mbuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Napenda sana ndoa yenu ilivyo na maelewano. Ni stress free zone hata uzi huu cha mtoto kwa kweli. Mume kakwama Dar sababu ya misambwanda. Mke anayemfuata naye anataka kupitiliza kwenda kwa mchepuko. Ndoa yenu haitakaa igote [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Yaan we muache tu, mm nikimkosa jpili napitiliza moja kwa moja kibiti kwa kichwa.
Asante sanapoleni pia mlioshinda nyumbani
Ndio maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bangi huku kwetu mboga za majani[emoji23] [emoji23]
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atukinge na balaa,mikosi,magonjwa na kila tabu..
Rudi hapaAcha[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
EeeehhYaan we muache tu, mm nikimkosa jpili napitiliza moja kwa moja kibiti kwa kichwa.