Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
G239
Mhasibu mkuu wa wizara mpaka gego la mwisho dah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Korodani moja2.Adolf Hitler Ndiye alieanzisha sheria ya kutovuta sigara hadharani. alikuwa mvuta sigara enzi za ujana wake na alikuja kuacha baadae akidai ni utumiaji mbaya wa fedha!
3.Huwezi Kuamini lakini Ukweli ni Kwamba Adolf Hitler alikuwa na KORODANI MOJA tu!!
4. Licha ya kufurahia Kuua sana binadamu, adolf alipinga sana ukatili wa wanyama, na alikuwa hali nyama ya aina yeyote ile!
Dah akaja kuwa muuwaji mkubwa5.Hitler aliokolewa kufa maji na mfanyakazi wa kanisa alipokuwa na umri wa miaka minne (4). na kwa kipindi hicho, hitler ilipenda saana awe mfanyakazi wa kanisa akiwa mkubwa!
Aisee jiandae jpili nakufuata huko.Basi, siri yangu.Ila mzee wa liver kapata.
HahahahahaJiandae naanza kupita kwenye post zako
Karibu mkuudaaah naona makapuku mnakimbizwa kwa karibu na mwendo wa likes tu