Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
G350
mzuka wa hali ya juuHuku mzuka sana
Si uguse uone....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu mzima unamtishia nyau.
hahahaha*Maisha bwana huwa nayo hayapendagi Ujinga Kabisa...!!!*
*Mshahara ukiingia tu, wiki ya kwanza unakula kuku [emoji239]*
*Ila wiki ya pili unaanza kula product za kuku ()*
*Wiki ya tatu ya mshahara unaanza kula vyakula vya kuku (mahindi [emoji535] maharage, choroko)*....
*Kimbembe huwa ni wiki ya nne maana unakuwa kuku kabisaa (unazurura tu* [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]♀[emoji124]♀[emoji124]♀)
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ongeza vitu umenikamata haswaaIliki, gilgilan
Tupo MkuuMpoo
Lete dataGurudumu linazidi kuchanja mbuga aisee
Niaje mkuumzee wa liver
HahahahahaI wanted to wish for something!
Lakini nika hesitate maana all my wishes comes true!
Remain blessed my dearest!