Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Maisha bwana huwa nayo hayapendagi Ujinga Kabisa...!!!*

*Mshahara ukiingia tu, wiki ya kwanza unakula kuku [emoji239]*

*Ila wiki ya pili unaanza kula product za kuku ()*

*Wiki ya tatu ya mshahara unaanza kula vyakula vya kuku (mahindi [emoji535] maharage, choroko)*....

*Kimbembe huwa ni wiki ya nne maana unakuwa kuku kabisaa (unazurura tu* [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]‍♀[emoji124]‍♀[emoji124]‍♀)

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tena unajikuta tu umeparamia vya gharama[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom