Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Wazungu wachawi!
Uchochezi wa kipanya
Cc:wanywa pombe woteTende
5.Hupunguza madhara ya pombe mwilini na kurudisha afya ya mtu.
Mwendo wa tanika
Nani kasema mchana?9:10 usiku
Alhamis 10/8/2017
Naona leo wanakugusa acha kupombeka weye. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cc:wanywa pombe wote
Hii naweza fanya na bado nikarud kitandani vile vile[emoji2][emoji2]1.Kuna chakula/tunda unalolipenda zaidi? Jiwekee zawadi, kwamba ukiamka asubuhi tu cha kwanza ni kula chakula hicho/ tunda/ chokleti nk. Hii itakufanya Utoke kitandani pale tu atakaposhtuka!
To be continued sweetheart!Hahahahaha
Kwa nini my love
Umesita
[emoji818][emoji818][emoji818]3.Andaa mapema nguo ya kuvaa siku inayofuatia, ili kuwahi jumatatu, andaa nguo ya kuvaa jumapili usiku. Utafiti unaonyesha kuwa asilimia 40 (40%) ya watu huchelewa kutoka kitandani kwa kuwa walitumia muda mwingi kupanga watavaa nguo gani.