Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9. TUPAC OMAR SHAKUR
Hili si jina geni kwa mtu yeyote mpenzi wa muziki hasa miondoko ya hiphop. Aliyepigwa Septemba 7, 1996 akitoka Las vegas Navada alikokwenda kuhudhuria pambano la Mike Tyson. Akiwa na Meneja wake Suge Knight (ambae pia anahusishwa na kifo hicho). 2pac aliuwa kwa kupigwa risasi kadhaa kifuani zilizotoka kwenye gari moja nyeupe iliyowazuia
kwa pembeni. 2pac alifariki siku chache baadae katika hospitali ya University Medical Center of Southern Nevada.
Wengi walihusishwa na kifo chake huku idadi kubwa ikimuelekea Christopher wales (B.I.G) kuwa ndiye aliehusika moja kwa moja na kifo caha 2pac. B.I.G aliuawa miezi sita baadae na watu waliodaiwa kuwa ni mashabiki wa 2pac kwa lengo la kulipa kisasi.
 
10 JUVÉNAL HABYARIMANA
Aliuawa baada ya ndege yake kushambuliwa na kuua watu wote waliokuwemo kwenye ndege hiyo akiwemo raisi wa wakati huo wa Burundi. Mauaji hayo ndiyo yalioamsha hasira za wanyarwanda hasa wahutu na kuanzisha vita dhidi ya watutsi na baadae mauaji ya kimbari.Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na ufaransa, mauaji hayo yamefanywa na chama cha Rwandan Patriotic Front (RPC) na kumuhusisha raisi wa sasa wa rwanda paul Kagame ingawa kagame mwenyewe amekuwa akikemea vikali na kusema wafaransa wanajaribu tu kuficha uovu wao!
 
Umeombwa utoe taarifa?
5911ce562735ac211fb905b3a7f4e1c3.jpg

[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hilo jicho lavutia[emoji6][emoji6]
 
*Maisha bwana huwa nayo hayapendagi Ujinga Kabisa...!!!*

*Mshahara ukiingia tu, wiki ya kwanza unakula kuku [emoji239]*

*Ila wiki ya pili unaanza kula product za kuku ()*

*Wiki ya tatu ya mshahara unaanza kula vyakula vya kuku (mahindi [emoji535] maharage, choroko)*....

*Kimbembe huwa ni wiki ya nne maana unakuwa kuku kabisaa (unazurura tu* [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]‍♀[emoji124]‍♀[emoji124]‍♀)

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hahahaha
 
Back
Top Bottom