Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Habari makini sana hizi pokea likes8. ROBERT F. KENNEDY
Mdogo wa raisi aliyeuwawa wa marekani John kennedy. Aliuawa mwaka 1968 miaka mitano tu baada ya kaka yake kuuliwa. Ilikuwa pia ni miaka mitatu toka kuuliwa kwa mwanaharakati Malcom X na miezi kadhaa baada ya kuuliwa kwa Mwanaharakati mwingine Martin Luther king Jr. Ulikuwa ni mfululizo wa mauaji ikumbukwe kuwa hata Patrice Lumumba wa DRC nae aliuawa mwaka 1961 (miaka 7 kabla).
Asante kwa kusindikiza jahazi ulale unono[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Usiku mwema.Mlale salama na Mungu akipenda tuonane kesho tena
YegomasikaCarbamazepine!
Cole'sCarbamazepine!
HahahahaLestorofio Gone misto Usiku Mwema hapa Kijijini lebrosonfito magreato demito [emoji16] [emoji16]
Nefyode demito eleju de musyokaze
Nobody can drag me from your loveHilo jicho lavutia[emoji6][emoji6]