salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Wapi maeneo mkuu?Niko nje ya nchi
Wapi maeneo mkuu?Niko nje ya nchi
Uzi una mwendo wa kinyongaHuu uzi unakimbia balaa, sikufikiria kuufungua lakini naona ni uzi maarufu. Hongera alieuanzisha.. nakupa like 2.
Watu wamechokaKasi imepungua
Kasi imepungua
Exactly my dear! Mimi ni Goddess ke! HahahahaMkuu unaitikia kama...
Ooh yes[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ogopa sana huu uzi unaweza poteza ajiraDuh ukitoka kidogo tu, page 10 umeachwa, ngoja nikodoe
Kabila gani?Exactly my dear! Mimi ni Goddess ke! Hahahaha
Nishalike mkuuJamaaaani....We kaka una roho nzuriiii......Yani unanipa likes kabisa...Waaaaooow......Nnavyotupendaga tulikes sasa...Haya nshacomment