Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

VYAKULA KUMI(10) VYA KUONGEZA KINGA YA MWILI


Watu wengi tumekuwa tukijali kazi zetu za kila siku bila kujali hali ya afya zetu matokeo yake kumekuwa na ongezeko kubwa la vifo vya ghafla. Suala la kula pengine ndilo nguzo ya kwanza ya afya ya binadamu Mwili ukiwa sawia bila shaka utaweza kufanya mambo yako yote, na usipokuwa sawa basi hutaweza kutimiza lengo lako lolote! Hivi ni yakula kadhaa vinavyoweza kukusaidia kuongeza kinga ya Mwili wako
 
1.Yogurt (yogati):
Hutengenezwa kwa kutumia maziwa ya ng’ombe na kimea, hupatikana kwa ladha mbalimbali kulingana na matakwa yako, yogati pengine ndio chakula kinachoongoza kwa kuogeza Kinga ya mwili wako


2 Matunda:
Yanapatikana sehemu yoyote duniani kwa bei unazozimudu, katika mlo wako wowote jitahidi usiache kujumuisha angalau tunda la aina moja. Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, matunda asiyekula matunda anahatari kubwa zaidi ya kupata magonjwa zaidi ya mlaji wa matunda
 
3. Vitunguu saumu:
Hupatikana Kila soko Tanzania! Japokuwa vitunguu saumu vimekuwa vikitumika sana kwa ajili ya matibabu ya magonjwa mbalimbali toka enzi za mababu, wataalamu wameshauri pia vitunguu hivi ni chanzo muhimu kwa kinga ya binadamu. Vitumie kwa kutafuna (kama unaweza) au weka kwenye chakula!
4. Uyoga:
Usishangae! Ndio.. hiki ni moja ya vyakula muhimu zaidi kuimarisha afya yako kwani huchangia kiasi kikubwa kuimarisha seli nyeupe za damu zinazofanya kazi ya kupambana na magonjwa mbalimbali!
 
Karoti
Karoti zina ziada kubwa ya vitamin pengine kuliko tunda lolote lile hivyo jitahidi kujumuisha karoti kama kiungo kwenye chakula au unaweza kuitafuna ikiwa mbichi!
8. Samaki
Husaidia seli nyeupe kuzalisha ctokins zinatohusika kuzuia baadhi ya magonjwa yanayosababishwa na virusi hasa yale yanayohusiana na mfumo wa hewa nk.
9. Matikiti
Wengi Hudharau lakini tunda hili ni muhimu sana katika afya ya kila siku ya binadamu kwani husaidia kuongeza kiasi cha maji mwilin, madini chuma na kuimarisha seli nyeupe za damu
 
Usingizi nitakao lala leo daah[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Usikamie usingizi shemeji. Tena nakuomba kabla hujalala msalie mgonjwa na wewe ujisalie huku ukikemea yote yaliyo mabaya na kuikabidhi nyumba hiyo katika ulinzi wa Mungu. Hapo sasa chochea feni/AC yako uucharaze usingizi mtamu usio na mang'amung'amu wala ndoto-msukule.
 
Hebu kila mmoja wetu na akawe na siku njema. Tutakutana baadaye muumba wetu Akipenda !!!
de5f6148604d8c2a3804550767a7894c.jpg
 
Usikamie usingizi shemeji. Tena nakuomba kabla hujalala msalie mgonjwa na wewe ujisalie huku ukikemea yote yaliyo mabaya na kuikabidhi nyumba hiyo katika ulinzi wa Mungu. Hapo sasa chochea feni/AC yako uucharaze usingizi mtamu usio na mang'amung'amu wala ndoto-msukule.
Nitamuombea shemeji,asante sana
 
Back
Top Bottom